Home »
Uncategories »
BREAKING NEWS:.DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA
BREAKING NEWS:.DIWANI WA CCM AFARIKI DUNIA KATA YA IGALULA TABORA
Unknown
11:35 AM
Marehemu Seleman Kapalu.
Diwani Chama cha Mapinduzi
(CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa Tabora, Seleman Kapalu
amefariki dunia kwa maradhi ya kifua. Taratibu za Mazishi zinaendelea.MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!