Mambo yamekuwa kinyume katika harusi ya mtoto wa kike wa Rais Goodluck Jonathan wa Nigeria aitwaye Faith, ambaye katika harusi yake iliyofanyika April 12, 2014 wageni walioalikwa wamefanyiwa mshangao kwa kupewa zawadi ya simu za iPhone 5 ‘Gold plated customized’, zilizoandikwa majina ya maharusi hao Faith na Godswill.
CHANZO NI BONGO 5