Producer
anayewani tuzo ya mtayarishaji bora wa muziki wa bendi kwenye KTMA 2014
amepata ajali mbaya na kuumia kichwani huku bajaj aliyokuwa amepanda
kuharibika sana.
C9 amewai
kutengeneza ngoma nyingi kama Mama Ntilie, nyimbo nyingi za marehemu
Sharo millionea na nyingine. Hivi sasa anaendelea vizuri hadi anajibu
pole anazopewa na mashabiki zake kwenye mtandao wa instagram. chanzo
bongoclan