RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO

Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi.
Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakijiandaa kumpokea rais Kikwete alipowasili mjini Moshi.
Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi.
Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikali.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akiteta jambo na mkuu wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi ,Matanga Mbushi.
Picha Na Dixon Busagaga


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...