BREAKING NEWS:.MAJAMBAZI YAUA SISTA UBUNGO

SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo.


Habari zaidi pamoja na picha zitawajia baadaye!


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...