STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia
video zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim
'Sandra' aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond
aliandika hivi:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)