Mwigizaji wa Bongo muvi, Vanitha Omary akitabasamu.
Ishu
hiyo iliibuka mara baada ya Thea kumtuhumu Vanitha kumuita mume wake
mnafiki kwa kitendo cha kulikacha Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF)
na kujiunga na Bongo Movie Unity ndipo ‘kikanuka’.Baada ya ugomvi kutulia, mwanahabari wetu aliwatafuta wawili hao, kila mmoja akaongea lake.
Vanitha: “Nimeumizwa na Thea, nahisi alikuwa na mambo mengine ndiyo ameamua kunitungia...sidhani kama nitakuwa naye karibu tena.”
Mwigizaji wa filamu Bongo, salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’.
Thea: “Mimi sina muda wa kugombana na Vanitha kwani siyo saizi yangu nitagombana na mastaa wenzangu.”