MBUNGE ANAPO KWEA BODABODA KUWAHI NDEGE BAADA YA KUKWAMA KATIKA FOLENI


Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na kulazimika kukwea bodaboda ili imuwahishe Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam hii leo.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...