Makundi
makubwa ya watu yanaonekana yametapakaa katika shopping mall ya
Mlimani City jijini Dar es salaam leo baada ya mall hiyo kuuzwa kwa
mmiliki mwingine inayesemekana kuwa ni NAKUMAT. Hapo ni wafanyakazi wa
Mlimani City wakisubiri hatma yao. Habari zaidi tunafuatilia.
Home » Uncategories » NEWS ALERT: PATASHIKA MLIMANI CITY LEO BAADA YA MALL HIYO KUPIGWA BEI KWA NAKUMAT...!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)