

 Rais
 Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa 
Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa
 nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Mei 6, 2014, Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe alikuwepo pia. 
 PICHA NA IKULU
 

