WACHEZAJI WA YANGA WAKIWA MAZOEZINI COCO BEACH

Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo kwenye ufukwe wa COCO.
Kiungo wa Yanga, Salum Telela akiwa na wenzake leo Coco Beach
Jembe jipya la Yanga likipiga matizi leo.
Kiungo wa Yanga, Nizar Khalfan akifanya mazoezi.
Wachezaji wakinywa maji baada ya mazoezi.
Wachezaji wakimsikiliza kocha wa makipa wa timu hiyo, Juma Pondamali (aliyesimama).
Mshambuliaji Jerry Tegete (mbele), kocha Pondamali (mwenye nguo za kijani) na wachezaji wengine wakiendelea na mazoezi.
Wachezaji wa timu ya Yanga SC wakiwa mazoezini leo asubuhi katika Fukwe za Coco Beach kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom na mashindano ya Kombe la Kagame chini ya Kocha wa Makipa Juma Pondamali.
PICHA NA MPIGA PICHA WETU


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...