ADAMU MCHOMVU, B12 NA MAAJABU.....DJ FETTY WACHAPANA MAKONDO LIVE KWENYE KIPINDI, FETTY AJIBU MASHAMBUULIZI KAMA KIDUME, B12 ALIA KAMA MTOTO VILE




Kama ulikosa kusikiliza XXL leo umekosa Uhondo kwa tibwili lililotokea pale ni balaa, Adam Mchomvu,B12 na Dj Fety wazua tafrani na kuzichapa ngumi kavu kavu bila hata uwoga, Mchomvu akikimbilia kuzima kinasa sauti na Fety kugoma ...Kilichoendelea hapo ni kusikia makonde yanavyochapa na kelele kibao ngumi na mateke zikisikika live bila hata kujali,Mashabiki wawaponda sana na kudai si vema kufanya kitendo kile ndani ya Office hiyo ni kukosa nidhamu na kujishushua hadhi kabisa ...Na kuzidi kudai kama walikuwa nataka kupigana ni bora wangepigana hata kabla ya kuingia kwenye Office , Mashabiki waomba wote kuchukuliwa hatua kama ilivyokuwa kwa Phina mango na wengine: AUDIO WAKIZICHAPA UTAIPATA HAPA HAPA


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...