HOT NEWSSS::::TAZAMA PICHA 5 JINSI MAJAMBAZI WALIVYOVAMIA GARI YA KUBEBEA MAHABUSI NA KUPIGA RISASI ASKARI MAGEREZA

Habari za Tulizopata  kutokea Mayfair Plazza karibu sana na Shoppers Plazza ni  kwamba basi la Magereza linalotumika kusafirisha mahabusu kwenda Mahakamani na kurudi Rumande limevamiwa  watu wasiojulikana wanaodhaniwa ni majambazi na kulipasua vioo vyote kwa risasi na pia kujeruhi askari magereza






Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...