BREAKING NEWS:. KOCHA MPYA WA SIMBA ATUA DAR


Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri.

Kocha Mzambia Partick Phiri ametua Dar kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuinoa Simba. Yupo njiani kuelekea klabuni hapo akitokea Uwanja wa Ndege.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...