Leo
Oktoba 2, ni siku ya kuzaliwa staa wa Bongoflava, Nasibu Abdul 'Diamond
Platnumz'. Juu ni baadhi ya comments za mashabiki wa msanii huyo za
kumtakia kila la kheri katika siku yake ya leo zilizotumwa katika
akaunti yake ya Instagram. NIAJE TANZANIA INAMTAKIA MAISHA MAREFU DIAMOND PLATNUMZ!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)