WEMA AMEWEKA WAZI KUHUSU KUWA NA DIAMOND KWA SASA

@wema_sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na @diamondplatnumz hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha.
Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa.
Unaionaje hiyo Je ni bado wanajaribu kucheza na akili za watu au ni hali halisi ilivyo?


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...