Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini
Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
aliyemtembelea hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya
Kusini, leo Oktoba 5, 2013.