Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa
alipomtembelea kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini
Colombo Novemba 14, 2013 kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa wakuu wa
nchi za jumuiya ya madola mwaka huu (CHOGM 2013).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa (mwenye nguo nyeupe) kwa mazungumzo kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapaksa wakati alipomtembelea kwenye jengo la Temple Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013

Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyeji wake, Rais wa Sri Lanka
Mhe. Mahinda Rajapaksa pindi alipokuwa akiondoka kwenye jengo la Temple
Trees jijini Colombo Novemba 14, 2013 mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao.
(PICHA NA IKULU)