Kampuni zote zinazojishughulisha na ukamataji na ufungaji magari
yaliyoegeshwa kiholela zimepigwa marufuku kutokana na malalamiko mbali
mbali ya wananchi yakiwemo ya kuharibiwa magari,rushwa pamoja na kampuni
hizo kufanya kazi kinyume cha sheria.source ITV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)