BREAKING NEWS: POLISI WAWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA MAHAKAMA KUU LEO

Jeshi la Polisi lawatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi watiifu wa chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu kuhairisha kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya chama chake.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...