Taarifa ambazo mtandao huu umezipata hivi punde jina la Emmanuel
Okwi halijaidhinishwa kwenye usajili wa klabu ya Yanga.Kwa maana hiyo
Okwi hataruhusiwa kucheza raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom mpaka
sakata lake la usajili kutoka klabu ya Etoile du Sahel litakapotafutiwa
ufumbuzi. Endelea kufuatilia mtandao huu kwa taarifa zaidi..........
Subscribe to:
Post Comments (Atom)