Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Mvomero, Morogoro usiku wa kuamkia jana imesababisha madhara makubwa ikiwemo kukatika kwa daraja la Dumila linalounganisha barabara za Morogoro na Dodoma na kusababisha safari za wananchi kukwama.
NEW UPDATES...HABARI PICHA..TASWIRA ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA...SERIKALI YAIFUNGA BARABARA YA MOROGORO -DODOMA KWA MUDA USIOJULIKANA !