UKWENI NOMA NIAJE...SHAMSHA FORD AFUNGUKA YALOMKUTA....!SOMA ZAIDI HAPA...

Shamsa Ford.
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na mila za kabila la mumewe mtarajiwa, Dickson mwenye asili ya Musoma Vijijini, mkoani Mara.

Akizungumza na mwandishi wetu ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, msanii huyo alisema alikutwa na magumu hayo mwishoni mwa mwezi uliopita alipokwenda kutambulishwa ukweni huko. 

Alisema, tofauti na alivyozoea, alilazimika kupika ugali mkubwa wa kulisha zaidi ya watu thelathini, kuchanja kuni porini, kufuata maji umbali wa kilometa tatu kutimiza wajibu wa mwanamke.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...