

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza
katika sherehe ya mwaka mpya nyumbani kwake Ngarashi Monduli.Pembeni
yake ni mkewe mama Regina Lowassa.

Akizungumz a na Naibu waziri wa ardhi na nyumba OleMedei

Wageni waalikwa mbalimbali

Mwenyekiti wa wenyeviti wa uvccm Manko Hiru akizungumz a katika sherehe hizo