10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI‏


Magari mapya aina ya Toyota yakiwa Manispaa ya Kinondoni mara baada ya kukabidhiwa hapo jana.
Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na Manispaa ya Kinondoni.
 Gari mpya aina ya Landcruiser ikiwa ofisi ya Manispaa ya Kinondoni.
Mstahiki Meya Yussuph Mwenda akiongea na vyombo vya habari mara baada ya kukabidhiwa magari hayo jana.
Meya wa Kinondoni Yussuph Mwenda akikabidhi funguo kwa mmoja wa madereva.

Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imenunua magari kumi (10) hard top na double cabin. Magari hayo yamegharimu kiasi cha Tshs. 779 milioni ikiwa ni mapato ya chanzo cha ndani ili kuboresha huduma za mipango miji, elimu, ustawi wa jamii, afya, mapato pamoja na usimamizi wa miradi ya maendeleo.
Magari haya yatasaidia sana kuleta maendeleo na vilevile kukuza mapato ya ndani kwa pamoja tunajenga lipa kodi kwa maendeleo ya Kinondoni (tuulize info@kinondonimc.go.tz)


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...