![](http://2.bp.blogspot.com/-x9M4q09B2-g/U5fDH9_Z1wI/AAAAAAAAXQ0/rdbe-0mFlCU/s1600/IMG-20140607-WA0002.jpg)
Ajali
hii imetokea lililopita maeneo ya Msamala katika manispaa ya
Songea..
kwa mujibu wa taarifa hakuna mtu aliyefariki zaidi ya kupata
majeraha
![](http://4.bp.blogspot.com/-UVye0wQh2XM/U5fDHN_39sI/AAAAAAAAXQw/IzFIEVOrmjE/s1600/IMG-20140607-WA0003.jpg)
Barabara ikawa ndogo kwa muda...
![](http://3.bp.blogspot.com/-5bxdPUQbycY/U5fDID475eI/AAAAAAAAXQ8/xUKmP4MvMsI/s1600/IMG-20140607-WA0004.jpg)
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo..
![](http://1.bp.blogspot.com/-aV46VaZOPAE/U5fDJJqS8HI/AAAAAAAAXRE/pmpbBpD0Pxo/s1600/IMG-20140607-WA0005.jpg)
wale wa gambe sijui ilikuaje!
![](http://2.bp.blogspot.com/-BMz01D4kyMI/U5fDJ3au03I/AAAAAAAAXRM/RDEfSO9_8lg/s1600/IMG-20140607-WA0006.jpg)
Bado tukiwa huko huko Songea: hili ni basi nalo lilifeli breki..hakuna
madhara makubwa yalotokea..