HEMED PHD ATOLEWA NISHAI NA MDADA WA KIZUNGU CLUB...!

 
Hii ilitokea Club Billicanas ambapo bishoo huyu alijikuta akisachiwa na mtoto huyu wa kike kwa kupandishiwa sauti na kurushiwa maneno makali, mapaparazi walifanikiwa kuzipata picha za tukio japo haikujulikana mara moja nini kilikua chanzo cha ugomvi huo. Hata hivo watu waliokuwepo waliingilia kati ugonvi huo hivyo kuepusha balaa hilo...si mchezo!Shuhudia mwenyewe sakata zima lilivyokuwa hapa chini....



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Related Posts


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...