
Nisingependa mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa kupelekwa clinic na sehem mbalimbali….hivyo ndio maana nikaamua kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia umma ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi” alisema shetta.
Mwana FA

Ali Kiba

Mr.blue

Mr.blue na mchumba wake Waheeda wamekua pamoja kwa miaka 10 sasa na along the way walipata mtoto anayeitwa kherry.“it feels great to be a father , in fact the greatest moment in my life was the day kherry was put on my arms. Nilikua na hisia zisizoelezeka”. Blue alisema haya kwenye interview tuliyofanya nae.
Barnaba

Gelly wa rhymes
Gelly wa rhymes naye ana mtoto wa kike anayeitwa queen
