WATU WAWILI WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA SINZA-MORI


Pikipiki ikiwa chini ya taili la lori.

Abiria aliyekuwa kwenye bodaboda ambaye jina lake alikufahamika mara moja.
Bodaboda iliyogongwa ikiwa chini.


Pikipiki ikipakiwa kwenye Bajaj na kupelekwa kituoni.

Sehemu iliyovunjika kwenye pikipiki.
WATU wawili akiwemo dereva bodaboda na abiria wake mwanamke walijikuta wakinusurika kifo baada ya lori la mafuta lililokuwa mbele yao kuigonga na kulikanyaga tairi la mbele ya pikipiki hiyo wakati ikitaka kuingia katika kituo cha mafuta cha GBP Sinza-Mori mchana wa leo. 
Watu hao wawili walitupwa chini na dereva wa bodaboda kupata michubuko kwenye mguu na mkono.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...