Rita Paulsen aka Madam Rita wa Bongo
Star Search na Walter Chilambo tayari wameshazijibu Salamu za Nay wa
Mitego na jana ilikuwa zamu ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Kwake mbunge huyo, Nay ni msanii wa pili wa Hip Hop anayemkubali zaidi Tanzania baada ya Roma na kwamba anakiheshimu kile alichokisema kwenye wimbo huo kwakuwa ni kazi ya sanaa.
Tazama tweets hizi.
CarolNdosi @CarolNdosi
I wonder if @zittokabwe ever listens to hip hop..local or international..