Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia
ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameamua
kukakatiza ziara yake nchini Denmark ili
kushiriki msiba wa dada yake mpendwa aitwaye Grace Mbowe aliyefariki
dunia juzi (Jumapili). Marehemu Grace alifariki kwa ajali ya gari katika
kata ya Kabuku wilayani Handeni, mkoani Tanga. Mungu ailaze roho ya
Marehemu mahali pema peponi. Amen!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)