Vijana wa
kitanzania wapatao 13 ambao walikamatwa na jeshi la polisi Mtwara Mara
baada ya Jeshi la Polisi kupata taarifa kwamba Vijana Hawa walikua
wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za Al Qaeda na Al Shabaab
ambapo Polisi waliwakamata wakiwa na hizo CD pamoja na silaha
mbalimbali kama ushahidi..
Picha hizi chini zinawaonyesha mara baada ya kufikishwa mahakamani kwa mashtaka yao
Taarifa ya jeshi la Polisi leo imesema kuwa , vijana hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.