ZITTO AANZA KAZI ILIYOMPELEKA USWIS..ATUMA PICHA HII KAMA USHAHIDI


Habari zilizoenea jana katika Website na Blogs nyingi ni kwamba Zitto Amekwenda Uswiss kufuatilia mabilion ya yaliyotunzwa huko na mafisadi ... Na Jioni ya jana alipost Picha hii kwenye facebook yake akiwa na caption hii hapa chini:

"Siku ya kwanza ya kazi hapa Uswiss, mikutano mizuri sana na Waziri wa Fedha na timu yake, Shirika la Maendeleo #SDC na asasi ya #AllianceSud " Zitto

Related Posts


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...