Katika
kusherehekea sikukuu ya Christmas, mambo yamekuwa ndivyo sivyo ndani ya
jiji la Mbeya,hawa ni kanga moko wakifanya yao ndani ya ukumbi wa
E-Point uliopo ndani ndani ya jiji la Mbeya maeneo ya Sae stendi,mimi
sisemi mengi tazama jinsi ambavyio wanamwaga radhi.
Haya ndiyo mambo yenyewe karibu kwenye klabu ya maraha E-point Sae Mbeya ni kila Jumatano,Jumamosi na Jumapili