MOTO MKUBWA WAZUKA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO Unknown 1:26 PM Moto mkubwa umezuka katika Hoteli ya Janco iliyopo Forest Mpya jijini Mbeya usiku wa kuakia leo. Chanzo cha moto huo hakijajulikana. Picha na Mbeya Yetu Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+