Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?.
Jibu lake ni kwamba msanii huyu anajiandaa kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.
Wimbo huo ilikupata video nzuri ndio sababu iliyomfanya aende hadi jela ambapo picha hizi ndipo zimepigwa.
Mashuhuda wanasema kwamba wafungwa wa jela hiyo walifurahi kumuona Jaguar ambaye alijichanganya pamoja nao.