Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa
Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati
alipokwenda nyumbani kwa marehemu
huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa
kutoa pole na kuangalia maandalizi a mazishi Januari 5, 20134.
Waziri mkuu, Mizengo
Pinda akizungumza na jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa
Fedha, Dr. WilliamMgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji
cha Magunga, Iringa kuwapa pole
wafiwa na kukagua maadalizi
ya mazishi Desemba 5, 2014
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Waziri
wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu
katika kijiji cha Magungua, Iringa kuwapa pole na kukagua maandalizi ya
mazishi Desemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).