Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dk. Seif Seleman Rashid akizungumza
wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza
katika Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliohudhuriwa
na mtoto kutoka familia ya familia ya Aga Khan, Zahra ulifanyika katika
ukumbi uliopo hospitalini hapo.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid (kulia)
akibadilishana mawazo na mtoto kutoka familia ya Aga Khan, Zahra, wakati
wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza katika
hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika katika
ukumbi wa hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid (wa kwanza
kulia) na mtoto kutoka familia ya Aga Khan (wa kwanza kushoto) wakikata
utepe wakati wa uzinduzi wa huduma ya matibabu ya saratani kwa mara ya
kwanza katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam. Uzinduzi huo
ulifanyika katika ukumbi wa hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh, Dk. Seif Seleman Rashid (wa pili kulia)
akimjulia hali mmoja kati ya wagonjwa wakati wa uzinduzi wa huduma ya
matibabu ya saratani kwa mara ya kwanza katika hospitali ya Aga Khan Dar
es Salaam. Wa kwanza kushoto ni mtoto kutoka familia ya Aga Khan, Zahra
akishuhudia, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa hospitali hiyo
iliyopo jijini Dar es Salaam.
Home » Uncategories » WAZIRI WA AFYA, DR. SEIF, AZINDUA KITUO CHA MATIBABU YA SARATANI HOSPITALI YA AGA KHAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)