FLORA MVUNGI ATAKA KUMBEMENDA MWANAE MAKUSUDI ANGALIA HAPA ANACHOTAKA KUKIFANYA, MASHABIKI WAKE WAPIGWA BUTWAA..!


MSANII FLORA MVUNGI

Msanii wa Bongo Movie Flara Mvungi ameibuka na kusema kuwa licha ya mwanae bado mdogo hata mwaka hajamaliza sasa hivi anahitaji kushika mimba nyingine ili apate mtoto wake wa pili na baada ya hapo atafunga kizazi hataki kusikia ahabari za kuzaa badala yake ataendelea kutafuta hela ili wanae waishi maisha mazuri tofauti na ya kwake alivyokuwa ambayo yalikuwa ya shida sana. 

Akizungumza na paparazi juzi alisema"  Nasema kweli kuwa kwa sasa nahitaji kupata mtoto wa pili na tayari nimeshamwambia baba watoto akaze buti ili nibebe mimba na kama Mungu akijalia basi huyo mtoto wa pili atakuwa wa mwisho katika maisha yangu sitozaa tena" Aliseema


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...