BREAKIN NEWZZ:- FACEBOOK SASA WAMTAMBUA RASMI SUPER STAR DIAMOND PLATZNUMZ KATI YA WATUMIAJI WAKE MAARUFU DUNIANI!!

Hatimaye kampuni ya Facebook yamtambua rasmi Diamond Platnumz.

diamod
Hii ni neema nyingine kwa Diamond Platnumz, baada tu ya kuwa verifie kwenye mtandao wa twiter, hatimaye sasa kuwa Verified kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook,
hii inamaanisha kuwa kampuni ya Facebook hivi sasa inamtambua Diamond Platnumz kuwa kama msanii maarufu wa kimataifa, nafasi hii wanatokea kupata wasanii wachache sana na watu maarufu ambao wanapata bahati ya kujulikana na makampuni makubwa kama haya. Mwanamitindo wakimataifa Flaviana Matata ni mmoja wa watu maarufu watokao nchin Tanzania wanaotambuika na kampuni hiyo, na ni moja ya watu maarufu ambao account yao ipo Verified kama hii ya Diamond Platnumz. Huu ni mwaka mzuri sana kwa Diamond Platnumz kwa matukio yanayoendelea kumtokea, na kuzidi kumpa jina kubwa ulimwenguni kupitia muziki wake huu wa Style yake ya kipekee iliyopewa jina la AfroPop.
Diamond1


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...