MKUDE SIMBA AKANUSHA KUTOKA KIMAPENZI NA PENNY ALIYEWAHI KUWA MPENZI WA DIAMOND



Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani wa Diamond.

Kitale akizungumza Global TV hivi karibuni ,amekanusha uvumi huo, ambao uliambatana na picha  zinazo muonyesha Penny   akimbusu Kitale.
 
“Penny mimi sina mahusiano nae yoyote, siyo kweli sina mahusiano nae , mimi nina ndoa yangu na nina mke wangu na nina mtoto, naiheshimu ndoa yangu”Alisema Kitale.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...